KUNA HABARI NJEMA NA MBAYA....SOMA HAPA CHINI.....
Habari mbaya ni kwamba watu wengi tunafanya au tunajitahidi kufanya kazi kwa kujituma lakini kazi yenyewe haitupatii matokeo tunayoyataka au kuyahitaji.
Mafanikio yanahitaji 200%, kati ya hizo 100% zinatoka kwako wewe mwenyewe kwa kujituma kwako na KUKOMAA na 100% zilizobakia zinatoka kwenye kile unachokifanyia kazi au unakopeleka juhudi zako.
Watu wengi tunajituma na tunafanya kazi kwa 100% lakini kazi tunayoifanya haitupi matokeo au majibu ya 100%.
Ukiona hivyo unafanya kazi kwa 100% na kazi unayoifanya haikupi matokeo ya 100%JUA KABISA HAUKO SEHEMU AU MAHALI SAHIHI.
HABARI NJEMA ni kwamba ipo FURSA ambayo itakupa matokeo ya 100% baada ya wewe kujitoa na KUKOMAA kwa 100%.
Wengi tupo bize na kazi kila siku,wiki,miezi na hata miaka kwa miaka lakini mifuko yetu au akaunti zetu haziko bize yaani hatuna hela pamoja na ubize wote tulio nao .
Wengine tuko bize masaa 24/7 yaani hatupati kabisa muda Wa kuwa na kukaa na familia,ndugu,jamaa,marafiki na hata majirani tukafurahia kwa pamoja.......hii ni FURSA pekee itakayokupatia hayo.
Wengine ni wagonjwa Wa magonjwa mbalimbali kama presha,kisukari,magonjwa ya Moyo na mengine yote yanayofanania hayo......hii ni FURSA pekee itakayokusaidia kuimarisha afya yako huku ukiwa unaingiza kipato mfukoni.
Wengine ni waathirika Wa mikopo kutoka katika vikundi mbalimbali kama vicoba,saccos na kwingineko na wameshindwa kufanya marejesho......hii ni FURSA pekee itakayokutoa katika hayo yote.
Wengine wanapenda vitu kama kusoma,kusafiri dunia nzima,kununua usafiri wao Wa ndoto zao,kujenga nyumba nzuri ya ndoto zao,kumiliki biashara kubwa ya kimataifa na vyote vinavyofanania na hayo lakini ni ukweli usiopingika hicho unachokifanya hakiwezi kabisa kukufikisha katika hayo yote unayoyayataka.
Basi hii ndio fursa pekee ya kukusaidia kukufikisha huko kote.
Upo tayari kupambana?
Upo tayari kujitoa kwa 100% kwani 100% tayari zipo?
Upo tayari kuishikilia ndoto na malengo yako bila kuwasikiliza watu Wa pembeni yaani waiba ndoto na waua ndoto?
Upo tayari #KUKOMAA# mpaka kieleweke?
Upo tayari kutenga muda mchache kwa ajili ya kujifunza na kuzidi kuielewa zaidi hii fursa?
Basi kama upo tayari utakuwa uko mahali sahihi kabisa.....hutojutia kupoteza muda wako.
Na kama unataka kujua na kufahamu zaidi kuhusu hii fursa hebu nitafute kwa Maelezo zaidi.
Call/inbox/SMS on +255717283023/WhatsApp +255786859332 /comment namba yako kujua fursa ....
AMUA.....JITOE......FANIKISHA.
0 comments
Post a Comment